"

Breaking News

Clouds Media Group Watoa List Ya Wasanii Watakaoperfom Fiesta Daresalaam November 24 Nandy Apigwa ChiniKatika Story Kubwa Zinazotrend Kwenye Mitandao Ya Kijamii Na Maskioni mwa Watanzania Ni show Kubwa Tatu Ambazo Zote Zitafanyika Tarehe 24
Moja Ikiwa Ni Daresalaam Ijulikanayo Kama Fiesta Na Nyingine Mtwara Uwanja wa Nangwanda Ya Wasafi Festival Na Ya Tatu ni Ya Kings Music Chini Ya Ceo Alikiba Pale Kahama'Leo Katika Story Ilibamba zaidi ni Juu Ya List Ya wasanii wa fiesta Ambao Wataenda Kuhitimisha Tamasha Hilo Pale Leaders Club Huku Likiacha maswali Kwa Mashabiki wa Nandy Kwanini Hakutajwa kwenye List Ya Wasanii watakaoperfom pale leaders
Mimi Na hatujui Nyuma Ya pazia kuna nini ? Endelea kufatilia mtandao wetu kila siku
Hii ndio list ya kwanza ya wasanii watakaoperfom Kwenye Jukwaa la Fiesta pale leaders
1. Weusi
2. Rostam
3. Fid Q
4. Wakazi
5. Rich Mavoco
6. The Mafik
7. Ben pol
8. Rosa Ree
9. Marioo
10. Barnaba
11. Billnass
12. Chege Chigunda
13. Dogo Janja
14. Msami
15. WhoZu
16. Mimi Mars
17. Lulu Diva
18. Zaiid
19. Mesen Selekta
20. Maua Sama
21. Tid
22. Qchief
23. Juma Nature
24.Jolie
25.Benson
26.Jay Melody
27.Mabantu
28.Brian Simba
29. Amber Lulu

Lakini pamoja na hayo Bado inasubiriwa List Nyingine Ya Wasanii ambayo itaongezwa
Endelea Kufurahia mtandao wetu kila siku

No comments