"

Breaking News

Exclusive Gospel Audio | Irene Robert - Tembea (New Music Mp3)


Irene Robert ni mwimbaji wa nyimbo za Injili anayeendelea kufanya vizuri katika anga la muziki wa Injili Tanzania na Afrika Mashariki, Na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia Audio & Video wimbo wake mpya unaoitwa TEMBEA.
Video hii imeongozwa na director Einxer, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza YZ Manamba.


No comments